Dkt. Gwajima: Ninawatambua wazalishaji wote wa tiba asili.

Na Barnabas kisengi Dar es salaamFebruary  23 2021 Tiba asili ilikuwepo tangu muda mrefu toka miaka ya 1990 na ilishaandikwa  kwenye maandiko ya wizara pamoja na Sera ya Afya ya mwaka 2007 hivyo bidhaa zote zilizotengenezwa na wataalamu wa tiba asili ni kuwa na nia ya kuitafuta tiba kama nchi kwa njia yeyote Hayo yamesemwa